Kama majaji na mahakimu wangekuwa wanatoa maamuzi yao kwa kuzingatia muonekano au maumbile ya mtu basi watu wengi sana wangenyimwa haki zao.
Hivyo ndivyo unavyo weza kusema mara baada ya kupata taarifa hii inayo muhusu mwanadada Quantasia Sharpton ( 21 ), ambae madai yake mazito dhidi ya mwanamuziki mmoja maarufu nchini Marekani, yame bezwa na watu wengi , huku sababu ikitajwa kuwa unene na uzito kupita kiasi.
JE ! NI MADAI GANI ALIYO YATOA DADA HUYU AMBAYO YAMEFANYA WATU WASHINDWE KUYAAMINI KWA SABABU YA UNENE KUPITA KIASI ALIO NAO DADA HUYU ?, << BOFYA HAPA KUJUA ZAD>>