SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatatu, 12 Juni 2017

T media news

Yanga Hawana Hela za Usajili?Mkemi Anaishia Kupiga selfie tu na Wachezaji.


"Kutembea tutembee na Azam,mimba aipate Yanga"....Wakati Simba ikichanua katika usajili Yanga wamekuwa wakosoaji wakubwa wa usajili wa Mnyama unaondelea.

Ajabu ni kwamba wao Mkemi ambaye ni kiongozi wa Yanga anaishia kupiga nao picha tu wachezaji wanaotamani kuwasajiri lakini wino unamwagwa timu nyingine isiyotegemewa!

Watani wamesemwa kusubiri kuokoteza baada ya wenye visu kuchukua chao mapema.

Kwa upande wa Simba mambo yanayoendelea kule ni hatari.Wanasoka wanaonya Simba ipunguze kasi tusije kujikita Taifa Stars yote inatokea Simba SC.

Chanzo JF