Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Sadiq Meck Sadiq akimpokea Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Mjini Moshi kuhudhuria kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi Sherehe zilizofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro
Picha juu Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia wimbo uliokuwa ukiimbwa na msanii Mrisho Mpoto katika uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Mjini Moshi kuhudhuria kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi Sherehe zilizofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro.
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wengine wa serikali wakishuhudia maandamano yaliyofanywa na vikundi mbalimbali vya wafanyakazi katika maadhimisho ya kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi Sherehe zilizofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro.
Vikundi mbalimbali vya wafanyakazi vikifanya maandamano mbele ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wengine wa serikali katika maadhimisho ya kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi Sherehe zilizofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro.
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wafanyakazi na wananchi wa Mji wa Moshi katika kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi iliyofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro katika uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Mjini Moshi Mei 1,2017
Umati wa wananchi na wafanyakazi wa mji wa Moshi wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi iliyofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro katika uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Mjini Moshi Mei 1,2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wakazi wawili wenye ulemavu mara baada ya kumaliza kuhutubia katika kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru na kuwaaga Wafanyakazi mbalimbali wakati akiondoka katika uwanja wa Ushirika mjini Moshi mara baada ya kuhutubia katika kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani