SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 4 Mei 2017

T media news

BOEING Airplanes Kupitia Account Yao ya Twitter Mpaka Sasa Hawajajibu Tweet Hii ya Zitto..!!!


Zitto Kama Mbunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, tarehe 03/05/2017 aliandika tweet hii kwenda kampuni ya Boeing kupitia account yao ya twitter na mpaka sasa hawajamjibu.

" #BoeingAirplane didi you approach us?Where you approached?Did you bid?What procurement process?Is 787-8 Dreamliner a TT?"

Hiyo ndio tweet ya Zitto kwenda kwa kampuni ya Boeing.

Binafsi nimevutiwa na hilo swali la mwisho la kuwataka Boeing wathibitishe kama ndege walioutuuzia ni Terrible Teens kwa kifupi TT?

Pia kupitia mtandao huo wa twitter, Zitto kamtaka waziri Mbarawa atoe ufafanuzi mbona Line Number ya ndege ya Tanzania inayoonekana katika mtandao #BoeingAirplane www.abcdlist.nl/787LINE.html ni 19 na sio 719 na waziri nae naona hajamjibu mpaka sasa.

Zitto anatafuta majibu tusimbeze.