Za chini kwa chini tunaambiwa kuna producer wa Filamu Bongo anataka kuwakutanisha Zari na Wema Sepetu katika movie moja matata na yupo tayari kuwapa mkwanja watakaohitaji kupitia sponsor but ugumu upo kwa mafahari hao wawili kukubali kuigiza pamoja
habari michezo na burudani