SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 3 Februari 2017

T media news

STAA KIM KARDASHIAN NA KANYE WEST WAJA NA JAMBO HILI JIPYA KUHUSU WATOTO

Hii ni kawaida kwa mastaa mbalimbali kuwa na kitu ambacho kitauza kulingana na jina (Brand) yao inavyokubalika kwenye nchi yoyote, sasa baba na Mama NorthWest hapa namzungumzia Kim Kardashian na Kanye West wametangaza kuja na mavazi ya watoto wadogo.

Kim alitoa taarifa hiyo moja kwa moja katika moja ya post yake Snapchat. “Daddy and mommy are doing a kids line,” alisema Kim kwenye kipande cha video hiyo. “These are some of the pieces. Northie picked out the color and the fabric.”

Kim Kardashian

Hakuna maelezo halisi kuhusu maneno hayo ya Kim, lakini Kim alifanya kama kumuonesha Northie modeling moja ya outfits. Kanye na Kim katika huo mradi mpya inadaiwa kuwa unaweza kuwa plotline katika msimu mpya wa Keeping Up With the Kardashians, ambapo Kanye anaripotiwa kujihusisha zaidi katika msimu huu.

“Kanye is really trying to please Kim,” chanzo kimeiambia People. “He realizes that his difficult behavior has been extremely draining for her. He is trying to make it up to Kim by going along with things that are important to her. The show is still important to Kim, so Kanye will support her.”

Kitu kimoja ambacho hakitakuwa katika msimu huu ni Kanye kuonekana katika ugawaji wa tuzo za Grammy 2017. inadaiwa Kanye amepanga kupiga chini ‘festivities’ zote mwaka huu licha ya kuwa ametajwa kuwania tuzo nane za Grammy.

“Let’s put it this way. He’s received 21 Grammys, but when he was head-to-head against a white singer, he never won,”. Chanzo kiliiambia TMZ kuwa, hiyo ni moja ya sababu kubwa kanye kupiga chini.

Hizi hapa post za Kim juu ya ‘New children’s clothing line’

#KIM #KIMKARDASHIAN #KIMKARDASHIANWEST #KIMKSNAPCHAT #KIMKSNAPCHATS #KIMKARDASHIANSNAPCHAT #KKW #LONDON #PARIS #MILAN #NEWYORK #LA #MIAMI #ATLANTA #KIMYE #KUWTK #KARDASHIANS #LIFESTYLE #BABYGIRL #NEWYORK #SNAPCHAT #CUTENESSOVERLOAD #CUTENESS #MOMMYLIFE #KANYEWEST #NORTHWEST

A VIDEO POSTED BY KIM KARDASHIAN SNAPCHATS (@KIMKSNAPCHATS) ON JAN 31, 2017 AT 5:15PM PST


#KIM #KIMKARDASHIAN #KIMKARDASHIANWEST #KIMKSNAPCHAT #KIMKSNAPCHATS #KIMKARDASHIANSNAPCHAT #KKW #LONDON #PARIS #MILAN #NEWYORK #LA #MIAMI #ATLANTA #KIMYE #KUWTK #KARDASHIANS #LIFESTYLE #BABYGIRL #NEWYORK #SNAPCHAT #CUTENESSOVERLOAD #CUTENESS #MOMMYLIFE #KANYEWEST #NORTHWEST

A VIDEO POSTED BY KIM KARDASHIAN SNAPCHATS (@KIMKSNAPCHATS) ON JAN 31, 2017 AT 5:09PM PST