SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 3 Februari 2017

T media news

PICHA:BEYONCE AMBAE KWA SASA NI MJAMZITO APIGA PICHA HIZI

Beyonce ame-pose mbele ya camera akiwa mtupu na kupigwa picha matata sana. Hadi sasa bado haijajulikana kama picha hizo ni kwaajili ya toleo jipya la jarida au vipi.

Beyonce ambaye anatarajia kujifungua hivi karibuni, amefanya kile ambacho hufanywa na mastaa wengi wa Marekani wanapokaribia kujifungua, ambao hupiga picha za utupu kuonesha tumbo la ujauzito. Picha hizo zimepigwa pamoja na zingine alizovaa nguo.