SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 17 Februari 2017

T media news

NYANGE AFUNGUKA MAZITO BAADA YA KUBANWA,AFICHUA KUHUSU KUJICHUBUA

Dayna Nyange.

MIONGONI mwa kiki kwa mastaa duniani kote huwa ni kuwaanika kwenye vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii watoto pamoja na familia zao, ili kuwapa nafasi mashabiki wao na watu wengine kuwafahamu na kuwazungumzia.

Hata hivyo, kwa upande wa mwanamuziki anayefanya vyema kwenye tasnia ya Muziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ hazimikii suala hilo. Dayna hayupo tayari kumuanika bintiye na amefunguka mengi kuhusu maisha yake na ishu ya uhusiano wa kimapenzi ungana nami kwenye makala haya.


Dayna Nyange.

Amani: Mwanao ana umri gani?

Dayna: Miaka kumi.

Amani: Anasoma?

Dayna: Ndiyo, darasa la tano.

Amani: Ana umri mkubwa lakini hajawahi kuonekana kwenye vyombo vya habari wala katika mitandao ya kijamii, ni kwa nini wakati wewe ni staa?

Dayna: Sipendi aonekane kwenye vyombo vya habari wala mitandaoni. Nilimfungulia akaunti ya Instagram lakini ni private, hiyo ni kwa ajili ya kutunza picha zake kama kumbukumbu. Sihitaji aonekane kwa sababu maisha hayo yatamuathiri na atashindwa kusoma na kufikia elimu ya juu kama ninavyohitaji.

Amani: Uhusiano na mzazi mwenzako vipi?

Dayna: Sina mawasiliano naye kwa muda sasa, nasikia yupo Sauzi lakini ndiyo hivyo tena. Amani: Una ugomvi naye? Dayna: Hapana, kuna ni baada ya Fid Q kuniimba kwenye wimbo wake kwamba haimaanishi Dayna kujichubua anaukimbia Uafrika.

Amani: Baada ya kuacha kujichubua ngozi yako ilikuwaje? Dayna: Iliharibika, lakini sikujali kwa sababu nilikuwa nimekwishaamua kuachana na jambo hilo.

Amani: Wewe ni mama, lakini pia ni msanii, kuna picha huwa unapiga ambazo kimaadili zimekuwa si nzuri hasa

Dayna: Mwanangu kukosa malezi ya baba. Amani: Umewahi kupata shoo nje ya nchi? Dayna: Hapana, sijawahi kupata. Amani: Kuna Tuzo za BAE, kutoka Nigeria ulichaguliwa hivi karibuni, kwa nini hukwenda kushiriki siku zilipokuwa zinatolewa? Dayna: Sikuweza kumudu gharama za kwenda huko kufuatia kuchelewa kupata taarifa. Amani: Nikushukuru sana Dayna kwa ushirikiano wako. Dayna: Karibu sana.

wezekani mimi kuwa naye kwa wakati huo. Amani: Vipi kwa sasa akikufuata? DAYNA: Nitazungumza na moyo wangu. Amani: Kuna kipindi ulikuwa unatumia mkorogo, nini hasa kilisababisha ufanye hivyo? Dayna: Ni mapito tu ya ujana. Unajua unapokuwa katika hatua hiyo unahitaji kujaribu kila kitu.

Amani: Impact yake ilikuwa nini baada ya kujichubua kwenye jamii na watu wako wa karibu?

Dayna: Hawakupenda, ninakumbuka hata kilichonifanya niache mambo tu ya ndani ya kifamilia hayapo sawa. Lakini huwezi amini niliwahi kufunga na kuomba ili tu nisimchukie mzazi mwenzangu kutokana na mambo yaliyotokea mpaka tukaachana.

Amani: Vipi kuhusu mtoto anamhudumia?

Dayna: Kila kitu kuhusu mtoto wangu ninamhudumia mwenyewe.

Amani: Je, mwanao anamfahamu baba yake?

Amani: Ndiyo, nashukuru Mungu ana upendo kwa baba yake japo anajua kila kitu kuhusu sisi.

Amani: Mwanao anamfahamu mpenzi wako wa sasa?

Dayna: Hamfahamu mtu yeyote niliyeanzisha naye uhusiano wa kimapenzi, sitaki kumuhusisha katika mambo yangu

Amani: Lakini upo katika uhusiano kwa sasa?

Dayna: Ndiyo. Lakini complicated. Yaani siuelewi elewi.

Amani: Kwa nini huelewi?

Dayna: Sipendi kulizungumzia hilo sana.

Amani: Umewahi kutoka na mastaa wangapi Bongo?

Dayna: Sijawahi kutoka hata na staa mmoja.

Amani: Inamaana hujawahi kupata staa anayekuvutia?

Dayna: Wapo lakini ninafikiri pengine hawajui kutongoza. Unajua wakati mwingine unaweza kukutana na mtu akakuvutia kuwa naye lakini jinsi anavyokufuata unajikuta huwezi kuwa naye.

Amani: Umewahi kutamka hadharani kuwa unampenda Idris, ulifanikiwa kuwa naye? wezekani mimi kuwa naye kwa wakati huo.


Idriss Sultan

Amani: Vipi kwa sasa akikufuata?

DAYNA: Nitazungumza na moyo wangu.

Amani: Kuna kipindi ulikuwa unatumia mkorogo, nini hasa kilisababisha ufanye hivyo?

Dayna: Ni mapito tu ya ujana. Unajua unapokuwa katika hatua hiyo unahitaji kujaribu kila kitu.

Amani: Impact yake ilikuwa nini baada ya kujichubua kwenye jamii na watu wako wa karibu?


Dayna: Hawakupenda, ninakumbuka hata kilichonifanya niache

Amani: Umewahi kutamka hadharani kuwa unampenda Idris, Ulifanikiwa kuwa….

Dayna: Hapana, kipindi nilipoweka wazi juu ya hilo Idris alikuwa na Wema, kwa hiyo kilikuwa ni kitu ambacho haki kutazamwa na watoto, katika malezi ya mwanao, hilo linakupa changamoto yoyote?

Amani: Vipi kuhusu mtoto

Dayna: Mwanangu kukosa malezi ya baba.

Amani: Umewahi kupata shoo nje ya nchi?

Dayna: Hapana, sijawahi kupata. Amani: Kuna Tuzo za BAE, kutoka Nigeria ulichaguliwa hivi karibuni, kwa nini hukwenda kushiriki siku zilipokuwa zinatolewa?

Dayna: Sikuweza kumudu gharama za kwenda huko kufuatia kuchelewa kupata taarifa. Amani: Nikushukuru sana Dayna kwa ushirikiano wako.

Amani: Nikushukuru sana Dyna kwa ushirikiano wako.

Dayna: Karibu sana.