SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 7 Februari 2017

T media news

KIGWANGALLA AAGIZA KUKAMATWA KWA KIJANA MAARUFU MITANDAONI KWA USHOGA, JAMES DELICIOUS

Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akijibu hoja za wabunge ameviagiza vyombo vya usalama kumtafuta mtu anayejulikana kwenye 
mitandao ya kijamii kama "James Delicious" kwa kujitangaza kama shoga kinyume cha sheria na kumfikisha mbele ya sheria kujibu tuhuma za kuendesha biashara ya kuuza ngono ya kinyume cha maumbile.