
Mwigizaji Wema Sepetu anatarajiwa kukaribishwa kama Mwanachama mpya wa CHADEMA leo ambapo ameonekana mapema akiwa ameungana na viongozi wa CHADEMA Mahakama kuu, kwenye hii video hapa chini anaonekana ndani ya Mahakama akijadili jambo na Freeman Mbowe.