SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatatu, 6 Februari 2017

T media news

BREAKING NEWZ:TUNDU LISSU AMEKAMATWA NA POLISI JIONI HII HUKO DODOMA

Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu amekamatwa na Polisi muda huu wa saa 12.00 siku ya jumatatu tarehe 06.02.2017 akiwa anatoka Bungeni huko Dodoma. Haijajulikana hasa sababu za kukamatwa Kwake.

Chanzo. Mkuregenzi wa Itifaki na Mawasiliano ,Uenezi na Mambo ya nje Chadema John Mrema.