Mahakama kuu Dar es salaam imetoa zuio la muda kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kutokamatwa na Polisi au kuwekwa kizuizini mpaka mpaka maombi yake yataposikilizwa Ijumaa ya Feb 24 2017 . Mahakama kuu DSM imetoa zuio la muda Freeman Mbowe asikamatwe na Polisi mpaka maombi yake yataposikilizwa tarehe 24 .2.2017