SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 3 Februari 2017

T media news

Alichoandika Afande Sele kuhusu mkakati wa RC Paul Makonda wa kotokomeza dawa za kulevya jijini Dar es Salaam.

Afande Sele ni miongoni mwa wasanii wa siku nyingi Tanzania ambao wamekua wakifatilia pia na ishu za siasa na mengine yanayoendelea ambapo leo hii ameandika  kuhusu ishu ya  dawa za kulevya iliyotangazwa na mkuu wa mkoa Paul Makonda.

Afande ameandika "Katika hili sakata la MAPAPA na MAPUNDA ya Unga kama kweli braza Paul yupo serious na sio ‘Matango Pori’kama tulivyoona ktk masakata mengine,huenda hata wale WASAFI wakaonekana wachafu…kila la kheri Mr Paul….RiP Da Amina…wacha parry ianzeee"