Muda Mfupi Uliopita Aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama aliwaandikia barua wananchi wote wa Marekani kwa kuwashukuru kwa kipindi chote alichokuwa Rais wao.
Obama katika barua hiyo ameweka wazi furaha yake kwa kumaliza miaka yake 8 ya kukaa madarakani .