Katika hali isiyotarajiwa na wengi ni hiki kitendo cha Mshindi wa Big Brother Africa kutoka Tanzania Idris Sultani kumtolea Povu shabiki wake kupitia ukurasa wa Instagram.
Hii ni baada ya Shabiki huyo kumtolea maneno ya Kejeli Comedian huyo katika post yake akiwa anakula Baga, Shabiki huyo alitoa comment ya kichokozi kwa kuandika kuwa Idris Sultani sio mzuri sana Kwenye mambo yetu ya "Kwichi Kwichi" kwasababu tu mchekeshaji huyo hupenda kula vyakula vyepesi kama chips na baga na ndio sababu ya kuachwa na Tanzanian Sweetheart kama wengi wanavyomwita "Wema Sepetu".Baada ya Comment hiyo Idris akaona isiwetabu ndipo akaanza kumshushia povu shabiki huyo kwa kumjibu kwa kuandika:
"kamuulize kazi yangu kama alikua na mda hata wa kushika kasimu na kurekodi. kasimu si kangeruka huko(ila ni mtazamo wako). akaendelea kusema kwamba “na hapo nimekula baga tu, ningekula magimbi si tungekuwa tunaposti RIP sahizi"