Raymond anafuata nyayo za bosi wake Diamond kwa kupendwa na mashabiki, Hii imethibitisha kutoka kwenye show aliyoifanya usiku wa kuamkia leo.Pamoja na promo ya siku moja tu iliyofanywa kwaajili ya show yake jijini Mwanza, Ray amefanikiwa kuvutia maelfu ya mashabiki kumshuhudia
akitumbuiza hits zake.Ilikuwa ni show yake mwenyewe, lakini ilionekana kama walidondoka maheavyweight kibao kwenye muziki wa Bongo.
Tazama picha za show yake.
Matangazo ya Siku Moja tu!!!!!!
MWANZA!!!! MWANZA!!!! Thanks alot
Mnafanya nijisikie niko Nyumbani #
BestBreakthroughact #MAMAvote+ #
Raymond+ #rayvannyMwanza @jembenijembe
@rick_juniour
Bosi wake Diamond pia alimpongeza kwa show yake na kuandika maneno haya.