"Kutokana na idadi ndogo ya uhudhuriaji wa vijana elimu ya juu ya sekondari (kidato cha tano na sita) kwasababu ya wazazi kushindwa kulipa ada.
Nimeamua Kuwalipia ada wanafunzi wote wa jimbo langu la Nzega watakaofaulu kidato cha tano na sita kwenye shule za serikali, wazazi wajiandae na sare za shule na gharama nyinginezo. Ili kila mtoto apate nafasi ya kusoma na hata kufikia elimu ya juu." -Hussein Bashe (MP Nzega urban).!