SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 12 Oktoba 2016

T media news

DIDAS MASABURI Afariki Dunia usiku huu

Aliyewahi kuwa Meya wa Dar na Mbunge wa Afrika Mashariki, ndg Didas Masaburi amefariki dunia usiku huu hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa.