Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wakiwa katika mkutano Mpango wa Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM mwaka 2015-2020 uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,(wa nne kulia) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika mkutano Mpango wa Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM mwaka 2015-2020 uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi.
Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi na Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa haji Ussi (Gavu),Mshauri wa Rais Utamaduni Mhe,Chimbeni Kheir Chimbeni na Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi Nd,Salmin Juma Amour wakiwa katika mkutano wa Wizara hiyo kuhusu Mpango wa Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM mwaka 2015-2020 uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,Chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wakiwa katika mkutano Mpango wa Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM mwaka 2015-2020 uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,Chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(Picha na Ikulu)