SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 7 Septemba 2016

T media news

NGOMA ILIYOMLETEA MAFANIKO NUH MZIWANDA

Ngoma ya Jike Shupa ya Nuh Mziwanda tangu itoke mpaka leo hii itakuwa inatimiza miezi mitatu na imetazamwa zaidi ya mara milioni moja na laki tatu.
Sasa Nuh mziwanda na ngoma yake ya Jike Shupa imekuwa ni ngoma ambayo inajadiliwa sana tangu itoke kutokana na Nuh kudai kuwa ngoma hiyo ina angaza mahusiano yake yaliyopita na super star Shishi Baby, Design hilo ndo povu lake.Mic ya ikaona imuibukie Nuh Mziwanda ili kutupatia mainfo kuhusu wimbo huo wa Jike Shupa umemletea mafanikio gani.
Akiongea na Perfect, Nuh Mziwanda amesema kuwa wimbo huo umemletea mafaniko makubwa kuliko nyimbo zangu nilizoweza kufanya, pia amefunguka kuwa tayari anastudio yake ambayo ndio kitendo kikubwa katika maisha yake.