SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumamosi, 6 Agosti 2016

T media news

MENEJA WA DIAMOND PLATINUMS AFICHUA UJIOWA ALBUMMPYA YA DIAMOND KIMATAIFA

‘Sikusema mwaka gani inatoka ila album ipo na siku zote kitu tunachoangalia ni njia tulikuwa tumezipanga kwa album ya Diamond Platnumz kuwa Kama international album’- Meneja Sallam
‘Hiyo ndio maana tukaanza kutoa kolabo yake na P Square kisha nyingine zitakapokamilika ikiwemo ile na Neyo itakuwa kwenye hiyo album hivyo album iko njiani mashabiki wakae mkao wa kuipokea muda wowote’

Zaidi unaweza kumsikiliza meneja Sallam kwa kuplay hapa chini..