SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 26 Agosti 2016

T media news

Majambazi 14 Wakiwemo Askari Wastaafu Wakamatwa Mapingano ya Askari na Majambazi Vikindu

UPDATE KUTOKA VIKINDU: Wamekamatwa jumla ya majambazi 14 na wengi wao ni askari wastaafu. 
Kiongozi wao ni Kanali Mstaafu wa Jeshi.


Askari wetu makini wamekamilisha kazi majambazi 14 wameuawa na majambazi 5 wamekamatwa wakiwa hai mmoja wa majambazi waliokamatwa wakiwa hai ni Kanali mstaafu ambaye ni sniper. 

Alikuwa mwanajeshi, na alipata mafunzo ya ujasusi na kulenga shabaha kwa miaka 3 huko nchini Cuba kabla ya mafunzo yake kukatishwa baada ya kubainika kuwa sio RAIA.


Tumempotezakamanda mwandamizi wa kikosi cha kuzuia ujambazi. Tunamuombea alale pema peponi.  Amefanyakazi nzuri ingawa imechukua uhai wake ila ametutetea na kutuacha tukiwa hai...