SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 26 Agosti 2016

T media news

Kimenuka...Mapigano Makali Yaendelea Kati ya Polisi na Majambazi Mkuranga Vikindu

MKURANGA, PWANI: Mapigano makali yanaendelea hivi sasa kati ya Askari Polisi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi eneo la Vikindu.

Magari yanayokwenda maeneo ya Vianzi Mkuranga, Malela, Pemba Mnazi, Mfuru zimefungwa kutokana na mapambano hayo.