SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 23 Agosti 2016

T media news

Breaking News: Polisi 3 wauawa na Majambazi Mbande Dar

Moja ya stori zinazosambaa kupitia mitandao ya kijamii usiku huu wa August 23 2016 ni pamoja na hii inayodaiwa kuuawa kwa askari polisi wawili kufuatia tukio la uporaji lililotokea katika bank ya CRDB tawi la Mbande, Mbagala.
kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro ambaye amesema…>>’Ni kweli kumetokea tukio la uvamizi hapa mbagala lakini kwa taarifa kamili ntazitoa kesho kwakuwa bado nipo eneo la tukio kwa ajili ya uchunguzi zaidi’
Endelea kukaa karibu na T MEDIA NEWS kwa ajili ya kukusogezea taarifa kamili itakayonifikia kwakuwa tayari ripota wangu