GIZA likiwa bado limetanda juu ya Ajali ya mabasi ya City Boy ambayo imepoteza zaidi ya Watanzania 30 na wengine
kujeruhiwa,Aliyekuwa waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu ameibuka na kupendekeza adhabu stahili kwa madereva wazembe.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter,Nyalandu amesema kuwa ingefaa madereva wanaofanya uzembe barabarani ikiwemo kukimbiza magari kwa staili a Mwendo kasi,wanapaswa kufungwa jela