Katika kile kinachoonyesha kuwa karibu na watu zaidi Mbunge wa Jimbo la Segerea Mhe Bona Kalua leo hii ameamua kujichanganya na wakazi wake kupiga story kijiweni.
Katika tukio ambalo limefanikiwa kuonwa na mtandao huu,Mhe Bonna alikuwa amejichanganya na wazee wanaokunywa kahawa katika maeneo ya Tabata Kimanga huku wakijadiliana mambo mbalimbali ya kimaendeleo.