MKUU wa wilaya ya Ubungo,Mhe Humphrey Polepole leo hii amaeapishwa katika nafasi hiyo mbele ya Mkuu wa mkoa wa DSM,Mhe Paul Makonda.
Baada ya kula kiapo hiko Mhe Polepole amehaidi maendeleo kwa wana ubungo,huku akisema kuwa anahitaji ushirikiano kutoka kwa wananchi wa wilaya hiyo mpya