SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 7 Aprili 2016

T media news

TANZIA: MBUNGE CHRISTINA MUGHWAI LISSU AFARIKI DUNIA LEO APRIL 7

            

 Christina Mughwai Lissu enzi za uhai wake.

Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kutoka mkoani Singida, Christina Mughwai Lissu (CHADEMA) amefariki dunia leo kwa ugonjwa wa kansa. Alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Aghakhan jijini Dar es Salaam.

Marehemu Christina ni dada wa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi AMEN



Tundu Lissu.