Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mh.James Mbatia pichani kati,amethibitishwa na mahakama kuu kuwa mbunge halali wa Jimbo hilo baada ya Augustino Lyatonga Mrema kuifuta kesi hiyo
Kesi hiyo ya uchaguzi katika jimbo la Vunjo ilifunguliwa na aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo, Augustino Lyatonga Mrema.