SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumamosi, 12 Machi 2016

T media news

Picha Mpya za Mwanamuziki Meninah Baada ya Kuolewa...Je Kaacha Music? Anafanyanini Kwa Sasa Jibu Lipo Hapa


Baada tu ya kuolewa, muimbaji huyo wa kundi la Shosteez, alifungua kampuni iitwayo Meninah Investment ambayo kwa anachokiandika, mambo yanaonekana kuwa yanamwendea fresh.

“I don’t give anyone a reason to hate me. They create their own drama out of pure jealousy…….musclemoney weekmuscleyoung and ambitious I choose what makes me happy just leaving uncomplicated,” ameandika kwenye picha hiyo juu.

Kwenye picha nyingine akiwa ofisini kwake, Meninah ameandika: Work work work C.E.O always incharge……..”


“At office cooperate look for my cooperative clients my company my business my dollars,” aliandika kwenye picha nyingine.