Wananchi wote wa mji wa bunda mnatangaziwa kufika ofosi ya kata yako kwajiri kutmbuliwa na kusajiliwa ili kupewa maelekezo na kamati ya mandalizi ili wamiliki wa nyumba muanze kufanya maandalizi katika nyumba zenu kwa ajili ya kupangisha kwa wanachuo.wanachuo wataanza masomo oktoba 2016 chuo cha ualimu bunda.
ratiba ya kukutana na kamati ya mandalizi na wamiliki wa nyumba kwa maelezo zaidi
ratiba ya kukutana na kamati ya mandalizi na wamiliki wa nyumba kwa maelezo zaidi