SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumamosi, 12 Machi 2016

T media news

MBUNGE wa Bunda Ester Bulaya Akamatwa na Polisi Akiwa Hotelini Jijini Mwanza.....


Ule muendelezo wa kukamata kamata wabunge wa Upinzani umeendelea usiku wa kuamkia Jumamosi kuelekea kwenye kikao cha Kamati kuu na Baadae Baraza kuu la CHADEMA baada ya Polisi wa Mwanza kumkamata Mbunge Ester Bulaya wa jimbo la Bunda mjini akiwa hotelini.