Mechi ya Manchester City na United wametupiana coins kwenye mechi ya EPL ambayo iliisha kwa United kushinda kwa 1-0.
Baada ya mambo kwenda vibaya kwa upande wa City, walianza kuwarushia coin mashabiki wa United ambapo wale wa kwanza zilikuta usoni.
Baada ya dakika chache askari wa uwanjani walikuja kati ya mashabiki wa United na City ili kutuliza fujo hizo lakini ugomvi ulikua ushakua moto.
Fujo hizi ziliendelea hadi mwisho wa mechi hiyoo ambapo kuna baadhi ya mashabiki walionekana wakibishana askari katika harakati za kujitetea.