SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumamosi, 12 Machi 2016

T media news

Jux: sikumpata vanessa kiulaini


 
MKALI wa Miondoko ya RnB Bongo, Juma Jux, amesema wakati anaanza kumsarandia kimapenzi staa mwenzake, Vanessa Mdee ‘V Money’ alihangaika sana na haikuwa kazi rahisi.

Jux alisema ili kuhakikisha anamweka mtoto Vanessa kwenye ‘line’, alianza kwa kuomba kidani cha mkononi.

“Siyo mchezo, nilizunguka kweli. Nilianzia kwa kuomba kidani, akawa haelewi somo, nikahangaika kweli lakini mwishoni nilifanikiwa na nipo naye hadi leo,” alisema Jux.