SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 1 Februari 2023

T media news

FAIDA ZA MBEGU ZA PARACHICHI,

 



 MAGONJWA YANAYOTIBIWA NA UNGA WA MBEGU ZA PARACHICHI

Limetumika kwa miaka mingi kama tunda na pia kama mboga. Kwa sababu ya wingi wa virutubisho vyake linatumika kutibu maradhi ya shida ya mmeng’enyo wa chakula, urutubishaji wa nywele na ngozi, na kuboresha afya.

Mbegu  imegundulika kuwa na faida lukuki.

FAIDA YA MBEGU ZA PARACHICHI

Virutubisho kwenye kijiko 1 cha UNGA wa mbegu ya parachichi kimesheheni,

Vitamin K  26% ,Folate 20%, Vitamin C 17%, Potasimu 14%, Vitamin B5 14%, Vitamin B6 13%, Vitamin E 10%. Virutubisho vingine ni Magnesium, manganese, shaba, chuma, zinki, phosphorus, vitamin A, B1, B2 na B3. (asilimia ni kiwango cha kirutubisho kinachotakiwa kwa siku).

70% ya faida zote za parachichi zipo kweye mbegu yake. Kwahiyo unapokula parachichi na kutupa mbegu yake unakuwa umekula faida 30% na kutupa 70%, hasara iliyoje.

Faida:
1. Inaupambana na mioto katika mwili na kutibu magonjwa yanayohusiana na mioto kama shida kwenye jointi za mifupa, arthritis.

2. Inasaidia mfumu wa mmeng’enyo wa chakula na hivyo kutibu shida ya gesi tumboni, kuendesha, kuvimbewa na madonda ya tumbo.

3. Husaidia uzalishwaji wa kolajeni na hivyo kukusaidia usizeeke mapema na ngozi yako kuonekana vizuri bila mikunjo. Hufanya kazi ya kulainisha na kung’arisha ngozi pia.

4. Inaimarisha kinga ya mwili na kukuweka mbali na magonjwa. Itakusaidia kutopoteza muda kushughulika na magonjwa yako au kutenga pesa ya kumwona daktari kwa ajili ya magonjwa madogomadogo.

5. Hutibu presha ya chini. Dalili za presha ya chini ni pamoja na kizunguzungu, maumivu ya kichwa, kupoteza faham, moyo kwenda kasi. Inasababishwa na kuwa na msukumo mdogo wa damu kwenye mishipa ambao inawezakuwa inachangiwa na kuwa na magonjwa sugu, magonjwa ya figo, upungufu wa damu, kisukari na utapia mlo.

6. Husaidia katika maradhi ya moyo. Mgonjwa wa moyo anatakiwa kula maparachichi ikiwa ni pamoja ana mbegu yake. Unga wa mbegu yake anaweza kuwekakwenye chai, juisi, smoothie a hata maziwa.

7. Hutukinga dhidi ya saratani. Mbegu za parachichi zinasaidia seli za saratani kujiua. Yaani virutubisho vya mbegu ya parachichi ni maadui wakubwa wa saratani. Seli zikiona tu hivyo virutubisho vimekuja, basi zinaamua kujiua.

8. Hutibu maumivu ya mifupa na misuli

9. Inasaidia kuunguza mafuta na kukusaidia kupunguza uzito haraka

10. Huondoa sumu mwilini

Maandalizi:
Ondoa ganda la nje la mbegu, kisha kwangua kupata unga. Anika sehemu isiyo na mwanga wa jua la moja kwa moja. Inaweza kuchukua hadi siku 6 kukauka kabisa. Ili kupata unga mzuri unaweza ukatwanga baada ya kuwa imekauka au ukatumia mashine.
Tunza kwenye chupa isiyoruhusu mwanga. Unaweza ukatunza kwa muda mrefu bila kuharibika.

Matumizi:

Kwa ajili ya chai: 
Weka vijiko viwili vya mezani na kijiko 1 cha asali kwenye kikombe. Kunywa kutwa mara 3. Hapo faida zote unakuwa umezipata. Unga wa mbegu za parachichi sio wa kuchemshia na maji, weka kwenye chai au kinywaji ambacho kinakuwa tayari kwenye kikombe.

Kama hutumii kama dawa, unataka kutumia kama chakula kawaida kila siku, ongeza kwenye maziwa, chai, juisi, smoothie au mboga kadri unavyotaka. Kwa ajili ya chai au vinywaji vingine unaweza ukanogesha kwa radha za viungo vingine kama iliki na  mdalasini

Kwa ajili ya urembo:
Changanya nyama ile inayoliwa ya parachichi pamoja na unga wa mbegu ya parachichi, pakaa na sugua kwa  dakika 5-7, kisha osha kwa maji ya vuguvugu. Husaidia kulainisha, kusafisha, kuondoa na kuzuia chunusi, 

Au saga kokwa lako bichi mix na maziwa lala pakaa usoni acha KWA dk 5-7 osha fanya hivi JIONI WAKATI umepumzika NJIA hii inafanya uso wako kuwa supa zaidi hata km ngozi YAKO imeanza kujikunjakunja.

KWA tatizo lolote kiafya km 
 Tatizo la uvimbe wa KIZAZI na shida ya uzazi, ngiri ,
 Shida ya saratani ya tezi dume au kuvimba tezi dume YENYEWE bila kufanya upasuaji,
 magonjwa ya kike km KUTOKWA UCHAFU MWEUPE AU WA RANGI UKENI WENYE HARUFU MBAYA, uvimbe NJIA YA haja kubwa, VIDONDA VYA TUMBO SUGU, uti isiyoisha SUGU, matatizo ya HEDHI, magonjwa ya WATOTO kifua cha kubanwa nimonia au pumu, KISUKARI, bp, moyo, Saratani (KANSA) Aina ZOTE, MAGONJWA ya ini hepatitis a.b.c, saratani ya ini, .