SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatatu, 19 Agosti 2019

T media news

Harufu chafu kwa wanawake sehemu za Siri na Tiba yake.

Harufu chafu kwa wanawake sehemu za Siri na Tiba yake.


  • Kwa kawaida mwanamke hutokwa na majimlaji mepesi (vaginal fluids) yenye rangi nyeupe au ya njano.


Inapotokea anatokwa na majimaji yenye ute mzito wenye rangi nyeupe au kahawia na yanatoa
harufu kali na muwasho,hiyo huwa ni ishara ya ugonjwa uitwao wa kutokwa uchafu ukeni ujulikanao kwa kitaalamu kama ‘Vaginosis’.

Mwanamke mwenye tatizo hili hujisikia vibaya na anaweza akaacha kushiriki tendo la ndoa ama kwa kuhofia maumivu au kwa kuona aibu kwani mwanaume ni vigumu kuvumilia harufu hiyo au
hata kuuona tu huo ute ute kwani humjengea hisia kwamba mwenza wake atakuwa na magonjwa ya
zinaa au si mwaminifu kwa ujumla.

Kinachosababisha kutokwa na uchafu ukeni:

• Kuwa na wapenzi wengi.

• Baadhi ya dawa za uzazi wa mpango.

• Kusafisha uke kwa kutumia dawa zenye kemikali.

• Uchafu.

• Uvutaji sigara.

• Pombe.

• Maambukizi ya Bakteria au bakteria wabaya wanapozidi ukeni.

Dalili za ugonjwa.

•Kutokwa na uchafu usio wa
kawaida.

•Kutokwa na uchafu wenye harufu kali kama shombo ya samaki au kitu kilichooza.

•Kuwashwa sehemu za siri na ndani ya uke.

•Uke unaweza kubadilika na kuwa na rangi nyekundu.

•Maumivu sehemu za siri wakati wa kukojoa.

• Maumivu makali chini ya kitovu.

•Kutokwa uchafu uliochanganyika na damu.


Matibabu .

1.Kitunguu Swaumu.

Ndiyo dawa ya asili nzuri  kwa ajili ya maambukizi ya bakteria kwa wanawake.

Kitunguu swaumu ni antibiotiki ya asili na hufanya kazi ya kuua bakteria wasababishao huu uchafu ukeni bila shida yoyote.

Jinsi ya kuandaa.

menye punje 6 za kitunguu swaumu na uzikate vipande vidogo vidogo (chop) na unywe na maji nusu lita asubuhi ukiamka au usiku unapoenda kulala kwa wiki mbili mpaka tatu.

2.Mtindi.

Chukua mtindi ujazo wa kijiko kidogo cha chai na utumbukize ndani ya uke wako na uache huko
usiku mzima. Mtindi una bakteria wazuri wanaohitajika ukeni kuweka sawa usawa wa PH(alikalini na asidi) na hivyo kuondoa maambukizi.Pia unashauriwa kula tu huu mtindi mara mbili kwa siku kuongeza kinga ya mwili wako kwa ujumla dhidi ya magonjwa mbalimbali.

3.Siki ya tufaa.

Chovya pamba ndani ya siki ya tufaa (apple cider vinegar) na uweke ndani ya uke kwa dakika 15 hadi 20 kila siku na bakteria wabaya wote
watakufa.

4.Uwatu.

Loweka kijiko kidogo cha mbegu za uwatu (fenugreek seeds) ndani ya maji glasi moja na uache kwa usiku mzima.Kesho yake asubuhi kunywa maji haya yaliyolowekwa mbegu za uwatu kabla ya kula au kunywa chochote.Uwatu husaidia kuweka sawa homoni za mwili na kuweka sawa mzunguko wa hedhi.

5.Maziwa na binzari.

Changanya kijiko kimoja cha chai cha binzari(manjano) ya unga na kikombe kimoja cha maziwa
ya moto na unywe mara mbili kila siku mpaka tatizo litakapoisha.

6. Lemonade.

Lemonade inaandaliwa kwa kutumia limau na asali na mdalasini ya unga kidogo.

nayo inaandaliwa hivi:

👉Chukua asali nusu Lita
👉Chukua limau kubwa 12, zikate katikati kila moja.

Tumbukiza ndani ya sufuria na weka maji Lita 3,chemsha mpaka limau ziive (zisiive sana), ipua
utowe zile nyama nyama za ndani za liamau moja baada ya nyingine, ganda la nje tupa na uchuje
kupata juisi ambayo itakuwa na ujazo wa lita 2 na nusu hivi.

Kwenye sufuria nyingine kubwa changanya ile asali nusu Lita na hiyo juisi ya limau Lita 2 na nusu,
ongeza maji Safi ya kawaida Lita 2 ili kupata lemonade ya ujazo wa lita 5.Ihifadhi katika friji Kunywa robo Lita kutwa mara 2 kwa siku 10 hadi
11 hivi.Unaweza kuongeza vijiko vikubwa vitatu vya mdalasini ya Unga ndani ya hii juisi ya lemonade.

7.Jeli ya mshubiri (aloe vera jel).

Ingawa jeli fresh ya mshubiri haitibu moja kwa moja tatizo la kutokwa na uchafu ukeni inaweza
kuwa msaada mkubwa katika kupunguza maumivu na muwasho ukeni. Chana kipande kidogo cha jani la mmea huu na ukamue kidogo kupata maji maji yake na upake vizuri taratibu ndani ya uke mara
mbili kwa siku kwa majuma kadhaa hadi muwasho utakapoisha.

Mambo ya kuzingatia .

Dawa peke yake hazitofaa kitu bila kuzingatia ushauri au masharti mhimu yafuatayo:

Kunywa maji mengi kila siku kuanzia glasi 8 hadi 10.

Punguza vyakula vyenye wanga
Acha kutumia vidonge vya uzazi wa mpango.

hii ni kwa sababu vidonge hivi vinasemwa huwa vinasababisha kushuka kwa kinga ya mwili na kukufanya mrahisi kupata
maambukizi ya fangasi.

Epuka mapenzi kinyume na maumbile.

Acha kutumia sukari na badala yake tumia asali.

Kuwa na mpenzi mmoja tu Pendelea kujiweka msafi muda wote.

Oga maji ya moto.

Acha vinywaji baridi, acha pia chai ya rangi na kahawa.

Acha matumizi ya pafyumu hasa maeneo ya sehemu za siri.


Kwa dawa zilizoandaliwa kitaalamu nipigie. 0715 699901 

Doctor