IMESIMULIWA NA DOKTA. MUNGWA KABILI
0744 000 473
Tukio hili lilitokea mwaka 1994 katika kijiji kimoja kilichopo katika mkoa mmoja uliopo magharibi mwa Tanzania.
CHANZO CHA KUBAKWA :
Chanzo cha tukio hili ni usaliti ulio fanywa na binti huyo dhidi ya mwanaume ambae aliwekeza muda, afya, mali na pesa zake kwa mwanamke huyo mrembo akitumaini kuwa kwa kufanya hivyo atapata nafasi ya kumuoa mwanamke huyo aliyetikisa kijiji kwa uzuri wake lakini badala yake mwanamke huyo akaishia kumsaliti na kutaka kuolewa na mwanaume mwingine.
HISTORIA FUPI YA BINTI HUYU NA JINSI ALIVYO INGIA KATIKA UHUSIANO NA MWANAUME WAKE WA KWANZA.
Binti huyo mrembo alizaliwa mwaka 1975 katika kijiji kicho. Alianza darasa la kwanza mwaka 1983 na kuhitimu darasa la saba mwaka 1989 akiwa na umri wa miaka kumi na nne.
Hakufanikiwa kuchaguliwa kuendelea na masomo ya sekondari na wazazi wake kwa kuwa hawakuwa na uwezo wakampeleka kwa shangazi yake aliye kuwa anaishi wilayani ili aweze kujifunza kushona cherehani.
Hii ilikuwa ni mwanzoni kabisa mwa mwaka wa 1990.
Mwaka 1992 akiwa amesha hitimu mafunzo yake na sasa akawa anapata uzoefu wa kazi ya kushona , binti huyo alikutana na kijana mmoja na kuanzisha nae urafiki ulio zaa mapenzi na baadae uchumba.
Kijana huyu alikuwa na umri wa miaka thelathini. Alitoka katika kijiji jirani na anacho toka binti huyu.
Kijana huyu alikuwa anajishughulisha na kilimo ambacho alikifanya kijijini kwao na hapo senta alikuwa anajishughulisha na biashara ya genge.
Kijana huyu ingawa hakuwa tajiri lakini pesa ya chakula ilikuwa haimpigi chenga.
KIJANA ANATAMBULISHWA NYUMBANI KWAO BINTI
Mwaka 1993 mwanzoni kijana huyu alienda kwao na huyo binti kwa ajili ya kujitambulisha rasmi ambapo posa yake ilikubaliwa.
MAMA WA BINTI APATA MARADHI YA FIGO
Mwaka 1993 mwishoni, mama wa binti huyo aligundulika kuwa na maradhi ya figo ambapo ilihitajika figo moja ili kuokoa uhai wa mama huyo.
MCHUMBA WA BINTI ANAJITOLEA KUTOA FIGO YAKE
Taarifa za kuhitajika figo moja ili kuokoa maisha ya mama yake zilimchanganya sana binti huyo kama zilivyo wachanganya wana familia wengine.
Hawa kuwa na budi Zaidi ya kufanya utaratibu ili mama yao apate figo moja. Katika kufanikisha hilo, ndugu na jamaa wa mama wa binti wakaanza kufanya utaratibu wa kutafuta mtu katika familia au ukoo ambae anaweza kujitolea kutoa figo yake.
Jamaa yeye mwenyewe bila hata kuombwa na binti alimwambia binti kuwa yupo tayari kutoa figo kwa ajili ya mama ake.
Jambo hili lilimshangaza sana binti na alipo ijulisha familia yake walishangaa kuona upendo wa ajabu ulio onyeshwa na kijana huyo.
Taratibu zikafanyika na ikaonekana kitaalamu kwamba figo ya jamaa inafaa, basi jambo hilo likafanyika kwa mafanikio makubwa.
BINTI ANAPATA MCHUMBA MWINGINE
Katika hali ya kushangaza, wakiwa bado katika uchumba, binti huyo alikutana na mwanaume mwingine ambae alionekana kuwa na uwezo mkubwa sana kuliko mchumba wa binti huyo.
Hii ilikuwa mwanzoni mwa mwezi wa Juni mwaka 1994.
Mwanaume huyu mpya, alikuwa msomi, na mwenye uwezo mkubwa kifedha ambae alikuwa anafanya kazi kwenye shirika moja la kimataifa ambalo lilikuwa na ofisi yake katika wilaya kinacho patikana kijiji alichoishi binti huyu.
Kwa nguvu ya pesa aliyo kuwa nayo, jamaa aliweza kufanya mipango ya kujitambulisha nyumbani kwao na binti haraka haraka na ikapangwa siku rasmi ya kwenda kutoa mahari nyumbani kwao na binti.
JAMAA ANAPATA TAARIFA ZA BINTI KUPATA MCHUMBA MWINGINE ..
Familia ya binti hawakutaka jambo hili lijulikane na mchumba wa binti huyo hivyo walipanga kufanya jambo hilo haraka haraka na kwa siri kubwa sana.
Lakini hata hivyo, duniani hakuna siri ya watu wawili, wapo wasamaria walio kuwa wanajua kuhusu uchumba kati ya binti na jamaa huyo na ambao hawakufurahishwa na mpango wa familia ya binti kumuozesha binti huyo kwa mwanaume mwingine, na hivyo kwenda kumjulisha jamaa.
Jamaa hakuamini na alichanganyikiwa sana na aliunganisha dot kati ya maelezo aliyopewa na mabadiliko ya tabia na kimuonekano kutoka kwa binti na familia ya binti.
Binti alianza kuonekana akiwa anavaa mavazi mazuri kuliko kiasi cha pesa alichokuwa anampa. Akapunguza heshima na mawasiliano kwa jamaa. Baba na mama wa binti nao wakaanza kumbadilikia jamaa. Kwa mfano alikuwa akiomba binti amsindikize mjini anakataliwa bila sababu ya msingi, tofauti na ilivyo kuwa awali.
Pia akashangaa kumuona binti anauza duka kubwa bila kujua duka ni la nani, achilia mbali kumtaarifu jamaa.
Mambo haya yalimchanganya sana jamaa na kumuumiza moyo mno.
Mtu mmoja wa karibu na jamaa akamwambia pengine binti na familia yake wamekubadilikia kwa sababu unachelewesha ndoa, fanya mipango ya ndoa haraka na bila shaka mambo yatakuwa mazuri kama zamani.
MPANGO WA JAMAA UNAKATALIWA NA BABA WA BINTI.
Jamaa akamchukua mshenga wake, wakaenda hadi kwa baba wa mchumba wake na kumueleza kwamba sasa anataka afanye mpango ili yeye na binti huyo wafunge ndoa haraka iwezekanavyo lakini kwa mshangao wake, baba wa binti akamwambia ngoja awashirikishe wanandugu kwanza. Jambo hili lilimtia hasira sana jamaa.
TUKIO LA BINTI KUBAKWA NA SOKWE MTU.
Ilikuwa ni mwezi Desemba 1994. Siku hii ilikuwa ni siku ambayo mwanaume mpya, mshenga wake, baba ake, dada zake na baadhi ya ndugu zake walikuwa wameenda nyumbani kwao na binti huyo kwa ajili ya kutoa mahari rasmi.
Wakati taratibu za kutambulishana zikiwa zinaendelea, lilitokea kundi kubwa la sokwe mtu kutoka kwenye msitu wa miti uliokuwa karibu na nyumba yao na huyo binti.
Kundi hili la sokwe mtu wasio wa kawaida liliingia ndani hadi mahali walipokuwa wamekaa familia za pande zote mbili yani upande wa binti na upande wa mwanaume na kuzua taharuki kubwa.
Sokwe mtu mmoja aliingia hadi mahali alipokuwa amekaa binti huyo, akamshika na kutoka nae nje sehemu ya uwazi ambapo alimchania nguo zake na kuanza kumbaka.
Binti na wanafamilia walibaki wanapiga kelele za kuomba msaada lakini kelele zao hazikumzuia sokwe mtu huyo kuendelea kumbaka binti huyo.
Kelele za wanafamilia zili washtua wanakijiji ambao mamia kwa mamia walikuja katika eneo la tukio kuona kunani.
Walipofika katika eneo la tukio walikuta sokwemtu akiwa anambaka binti huku ndugu na jamaa wa binti huyo pamoja na ndugu na jamaa wa mwanaume aliye taka kumtolea mahari binti huyo wakiwa wanajaribu kupambana na sokwe huyo pamoja na sokwe wale wengine bila mafanikio.
Wanakijiji walivyo kuja wakaongeza nguvu na wazee wakimila wa kijiji na kuanza kupambana na wale sokwemtu ambao walikimbia na kupotelea msituni.
Wakati huo huo sokwe aliyekuwa anambaka yule binti alikuwa tayari ameshamaliza kufanya tendo na yeye akakimbia na kupotelea msituni kimiujiza.
Binti huyo ambae kwa wakati huo alikuwa anagaa gaa kwa maumivu makali uwanjani hapo alichukuliwa na wazee wa kimila kwa ajili ya kupewa huduma ya kwanza na kufanyia matambiko.
MATOKEO YAKE
·Yule mwanaume aliekuja kumchumbia yule binti aliondoka na hakurudi tena wala hakutaka kusikia chochote kuhusu mwanamke huyo. Asingeweza kuishi na mwanamke ambae amebakwa na sokwemtu huku yeye,wanafamilia yake na kijiji kizima wakishuhudia.
Binti alijiuaFamilia ya nzima ya binti huyo ilinyanyapaliwa.Mama wa binti aliwehuka na kutoweka kijijini hapoMdogo wa binti alikimbilia kwa shangazi yake kule wilayani lakini haikumchukua muda mrefu nay eye alijiuaBaba wa binti aliwehuka na kufa miaka miwili baadae.
FUNZO : USALITI KATIKA MAPENZI IWE UMEFANYWA NA MWANAMKE AU MWANAUME NI MBAYA SANA, UNAWEZA KUKULETEA MADHARA MAKUBWA KAMA MADHARA YALIYO ITOKEA FAMILIA YA BINTI HII.
CHANZO KIKUU CHA USALITI KATIKA MAPENZI NI TAMAA. WACHA TAMAA TAMAA MBAYA SANA.
Katika siku zijazo nitaandika Makala nikielezea kwa kina jinsi wachawi wanavyo weza kutengeneza sokwe mtu wa kichawi kwa kwa ajili ya kuwatumia kulipa kisasi dhidi ya wasaliti katika mapenzi pamoja na kinga ya kuzuia kudhuriwa na uchawi kama huu.
IMESIMULIWA NA DOKTA MUNGWA KABILI…..0744 000 473.