Bunda Mjini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Ester Bulaya kukamatwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Rorya katika Mkoa wa Mara akiwa katika majukumu ya kichama.
Bulaya imethibitishwa na Msemaji wa CHADEMA Tumaini Makene kuwa amekamatwa akiwa akiwa katika Hoteli aliyofikia Tarime ambako alikwenda kwa ajili ya shughuli za kichama.