Kuumwa mgongoKusafisha njia ya mkojoKusafisha damuUnatibu tigoUnatibu minyooUnatibu damuBaridi yabisiTezi la shingoHomaKuongeza damuUnatibu maumivuTonic ya nyweleUnasaidia kupata haja ndogo kwa wingiKutibu MgongoChukua mchicha ponda. Chua mara 3 kwa siku. Usiku unapasha moto mchicha kisha unufunga mahali panapouma. Lala nao wakati vuguvugu la joto lake lenye maji ndani (dawa) ikiingia ndani fanya hivyo kwa siku 5, ukibadilisha kila siku (fresh)
15. Tiba ya tezi ya shingo
Chukua mchicha kiasi kidogo, ponda, fungia shingoni pale penye uvimbe wakati unapolala kwa kitambaa, kwa muda wa siku 5.
Matayarisho
Chukua mchicha kilo 1 chemsha maji lita 2 na nusu.
Yakichemka loweka mchicha kwa dakika 15. Tumia kikombe. Ni bora utumie yote kwa siku . Dozi ni siku 5.