RAIS MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI BAADA YA KUZUNGUMZA NA RAIS LUNGU
RAIS John Magufuli amekuibaliana na Rais wa Zambia Edger Lungu kuimalisha na kufufua shirikia la reli la Tanzania Zambia na Rwanda pamoja na Tanzania Zambia na Malawi.
makubaliono hayo yameafikiwa leo ikulu Jiji Dar es Salaam ambapo Rais Lungu amefika Nchini kwa ziara yake ya siku tatu kikazi.
RAIS LUNGU NAYE AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI
WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIAMATAIFA DK AUGOSTINE MAHIGA NA WAZIRI WA NJE WA ZAMBIA WAKITIA SAINI YA MAKUBALIANO YA KIDIPLOMASIA