SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatatu, 28 Novemba 2016

T media news

Kiwango cha Mesut Ozil hapa kimeshuka


Mesuit Ozil ambae aliweza kupata jina la “Mfalme wa Assist” kutokana na uwezo wake kutoa asissit nyingi uwanjani. Sasa hizi kiwango chake cha kutoa assist kimeshuka hadi kwenye top 20 ya watoa assist bora kwenye ligi hayupo.

Kwa sasa Firmino ndioe Mfalme wa Assist akifuatiwa na De Bruyne na Alexis Sanchez. Takwimu hizi kutokana na mechi zilizochezwa hadi sasa hivi. Hapo chini ni list ya wachezaji 20 waliotoa assist nyingi hadi sasa.

Hii ni video inaonyesha assist 50 bora za Mesut Ozil.