SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 2 Novemba 2016

T media news

Jux Atoa Majibu Haya Alipoulizwa Kama Ana Mpango wa Kumuoa Vanessa au Kuzaa Nae.

Msanii Jux amejibu kuwa hajui kama atakuwa na mtoto na Vanessa wala hajui kama atamuoa, ila amesema Vanessa amemsaidia kwenye maisha yake kwa kuwa kuna vitu anavijua na yeye havijui Msikie Hapa: