
MSANII wa bongo flavour aliyebahatika kupenya kwenye anga za kimataifa Nassib Abdul Diamond azidi kufanya maajabu baada ya kushinda tuzo ya AELA.
Msanii Diamond amepata tuzu kwenye ngoma yake iliyokwenda kwa jina la Kidogo aliyoshirikisha P-Square,
Ngoma hiyo imekuwa ngoma bora ya kushirikiana