SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 18 Novemba 2016

T media news

Bulaya ambwaga Wasira kesi ya uchaguzi Bunda

Bunda. Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini, Esther Bulaya ameibuka mshindi katika kesi ya uchaguzi iliyofunguliwa na wanachama wanne wa CCM pamoja na aliyekuwa mgombea wa ubunge wa jimbo hilo(CCM) Steven Wassira.

 Katika kesi hiyo, wanachama hao walidBi kuwa uchaguzi huo haukufuata sheria na taratibu na mgombea wa CCM(Wassira) aliomba kura zihesabiwe upya lakini akanyimwa na akanyimwa pia nakala ya matokeo.

Source: Mwananchi