SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumapili, 6 Novemba 2016

T media news

BREAKING NEWS : MGOMBEA URAIS WA MAREKANI DONALD TRUMP ATOLEWA JUKWANI KWA TISHIO LA KUFYATULIWA RISASI


NEVADA, MAREKANI: Wanausalama wamuondoa jukwaani, Donald Trump baada ya mtu 1 kupaza sauti kuwa kuna hatari ya kufyatuliwa risasi. 

- Mtu huyo inayedaiwa kuwa alikuwa na bunduki aliachiwa huru baada ya kugundulika hakuwa na silaha yoyote