SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 15 Septemba 2016

T media news

Vurugu zaibuka katika ofisi za UVCCM Arusha

Ofisi za Umoja wa Vijana CCM mkoa wa Arusha zimefungwa na wanachama wa CCM mkoani kutaka Katibu mpya Said Gao kupewa ofisi

Hatua hiyo inakuja baada ya baadhi ya viongozi na wanachama kutaka Katibu wa zamani Ezekiel Mollel abaki wakati Chama cha mapinduzi kimeamuru katibu huyo arudi makao makuu ya chama jijini Dar es Salam

Video ni mtiti wa wanachama hao wakipigana kuingia ofisini