SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 15 Septemba 2016

T media news

JEMBE FM 93.7 WAMCHAGUA BALOZI MPYA KUTOKA KWENYE WASHIRIKI WA MISS LAKE ZONE 2016 ONA HAPA LIVE!!


Mr. Ruta kushoto kutoka Kamati ya Miss Tanzania akimtambulisha Balozi Mpya wa Jembe FM ya Mwanza Miss Mara 2016 Coletha Justine mwenye Blue nyuma yake ni Miss Lake Zone 2016 Illumine Dominic na kulia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Miss Tanzania Moddy Bawaziri sherehe hii ilifanyika Jembe Beach Mwanza Jumapili iliyopita.

Meneja wa Jembe FM ya Mwanza kulia akimkabidhi Fulana ya Redio hiyo kama inshara ya kumkaribisha Jembe FM.