SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 15 Septemba 2016

T media news

JB KUWAPANDISHA NDEGE MASHABIKI ZAKE,..UNAKOSAJE SASA

Kama hukuwahi kupata nafasi ya kukaa pamoja na moja ya mastaa wa Filamu hapa Bongo sasa hii ndio nafasi, Jb ametoa anatarajia kuachia shindano ambalo washindi atakula nao chakula pamoja.
Jb anatarajia kuachia movie yake mpya ya “Kalambati Robo” ambayo iko mbioni, ameamua kuwapa shavu mashabiki wake kwa kuandika ujumbe kupitia kurasa yake ya Instagram kwa kuwa mashabiki wake wamekuwa nae bega kwabega katika kutoa sapoti, Kesho anawaandalia mashabiki wake shindano ambalo washindi wawili watapata nafasi ya kula nae chakula pamoja.