
Chama cha kutetea Abiria Tanzania kinapinga tozo la kuingia stendi za Mabasi , Treni na Vivuko nchi nzima kwa Abiria mwenye Tiketi na itakuwa ni wizi kwa kufanya hivyo.. ikitokea Abiria katozwa afike ofisi za CHAKUA Ubungo na atarudishiwa pesa yake mara moja..