SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumamosi, 23 Julai 2016

T media news

TOP 10 YA MAJIJI YA GHARAMA ZAIDI KUISHI DUNIANI


Economist Intellligence Unit wamefanya utafiti kuhusiana na Miji mikubwa Duniani yenye gharama zaidi za kuishi kwa mwaka 2016. Utafiti huu ulijikita zaidi katika kufanya mahesabu kwa kulinganisha bei za vitu kwenye miji 133, Singapore imeshika namba moja kwa kuwa mji wenye gharama kubwa zaidi za kuishi.

Mji mkuu wa Zambia Lusaka ndio mji wenye gharama ndogo za kuishi Duniani, umechukua nafasi ya 133 ikiwa ni nafasi ya mwisho kwenye miji iliyofanyiwa utafiti ikifuatiwa na miji ya India Bangalore na Mumbai.

1.Singapore


 2.Zurich-Switzerland


 2.Zurich-Switzerland


4.Geneva


5.Paris


 6.London


7.New York


 8.Copenhagen, Denmark


9.Seoul-South Korea


10.Los Angeles